STRAIKA wa Liverpool, Darwin Nunez inadaiwa ni mmoja wa wachezaji walipewa ruhusa ya kuondoka timu hiyo dirisha lijalo la ...
KUMEKUCHA. Manchester United na Tottenham Hotspur zimeshafahamu njia zitakazopita katika kufukuzia ubingwa wa Europa League ...
SARE ya bao 1-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Tabora jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini hapa, imeonekana ...
Simba iliwahi kucheza fainali za Kombe la CAF mwaka 1993, michuano ambayo kwa sasa haipo tena baada ya kuunganishwa na ile ya ...
UNAIKUMBUKA ile mechi ya kwanza kwa kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud alipovaana na JKT Tanzania na kulazimisha suluhu kwenye ...
Imekuwa ni mazoea watu wanaoana huwa na siku 7 za kukaa fungate kwa ajili ya kusherehekea kutimiza ibada hiyo ya ndoa, lakini ...
“DUNIA imepandwa na kichaa?”. Mtandao wa BBC ulishindwa kuvumilia na kuweka kichwa hiki cha habari wakati Lazio walipolipa ...
NAMBA haziongopi. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na namba za kiungo wao mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafikiria kuona iwapo kiendelee kuviendesha viwanja vyake vya soka au kitafutwe ...
KANUNI za usajili na leseni za Klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ni mojawapo kati ya miongozo muhimu ambayo ndani ...
ARSENAL, Liverpool na Aston Villa zimeshafahamu wapinzani gani watakutana nao kwenye raundi ya 16 bora ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya upangaji wa droo iliyofanyika Ijumaa.
Liverpool kwa sasa inaonekana kuwa bosi kwenye mbio hizo za ubingwa, lakini kuna sababu nyingi za kuamini kwamba vita yao na Arsenal itakwenda hadi mwisho wa msimu baada ya kikosi hicho cha kocha Arne ...