Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) leo, Januari 31, 2024, inakutana mjini Harare, Zimbabwe, katika mkutano wa dharura kujadili namna ya kukabiliana na mzozo unaoendelea Mashariki mwa ...
Taarifa zinabanisha kwamba kitimoto (nyama ya nguruwe) isipoiva ipasavyo, husababisha minyoo ambayo husafiri hadi kichwani na kuziba damu kupita ipasavyo. Kutokana na hali hiyo, mlaji wa nyama hiyo, ...
Dar es Salaam. Matokeo ya sasa ya utafiti yanaonesha kupungua kwa idadi ya wanaoathirika na ugonjwa wa kifafa, kutoka zaidi ya 70 mpaka 20 hadi 15 kwa kila watu 1000. Utafiti huo uliofanywa na Chama ...