Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote wa soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanzania ambalo limeungua usiku wa kuamkia leo na kusababisha asilimia 98 ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wafanyabiashara wa soko kuu la Kariakoo ... za wafanyabiashara wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam zimelazimika kusimama kwa muda ...